Msanii wa Bongo Flava Harmonize ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Nitaubeba huku ndani ya ngoma hiyo amemuweka mpenzi wake Kajala kama Video Vixen.