Kundi la muziki wa Bongo Flava Mabantu wameachia video ya ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Leo wakiwa wamemshirikisha Mkali wa Bongo Flava Marioo.