Mwalimu wa Madrasa Kibiti Twaha Hassan amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumnajisi binti wa miaka 14.
Ilidaiwa Desemba 16, 2017 katika kijiji cha kikale kibiti mkoani Pwani ilidaiwa kuwa binti huyo alikwenda madrasa kumuombea ruhusa mdogo wake kuwa hatofika kusoma kutokana na majukumu ya nyumbani.
Ilidaiwa kuwa mwalimu huyo alimlazimisha binti huyo kuingia chumbani n akumziba mdono kisha kumnajisi.
Hata hivyo mtuhumiwa huyo alipinga maamuzi hayo kwa kukata rufaa akiwa na hoja tisa moja wapo alidai kuwa ushahidi wa mwathiriwa haukuwa na nguvu ya kufanya mahakama imtie hatiani na kumpa adhabu iliyompa.
Jopo la majaji baada ya ya kupitia hoja za mrufani liliona kwamba nwombaji ameshindwa kuthibisha hoja zake na kuona kuwa maobi yake hayana sifa na kutupilia mbali rufaa yake.
0 Maoni