Star wa Muziki kutoka South Afrika Costa Titch akishirikiana na Star wa Bongo Flava Diamond platnumz wameachia ngoma yao inayokwenda kwa jina la Superstar wakiwa wameshirkisha kundi la Kudance la Ma Gang.