TANGAZA HAPA

Je nikweli aliekuwa mke wa Nuh Mziwanda kaolewa na mwanaume mwingine

nuh mziwanda

Waliokuwa wanandoa Nuh Mziwanda na Nawali ambao wanasemekana wametenganga na kuwa haiwaishi kama zamani na huku Nuh akisemekana amerudi kwenye dini yake ya zamani.

Nawali alisikika akisema haya kwenye U-HEARD ya Clouds fm "Nuh kashantoka nina mume mwingine kwani hamna habari....mume wangu hapendi mambo ya nini nini..."

Sasa leo nuh ameonyesha kuwa Nawali ameolewa na mwanaume mwingine na kutaka kumtakia maisha mema >>>Nimeona Nawal na hongera sana Mungu akusimamie wewe na Mumeo katika ndoa yenu'pia shikamoo bwana harusi mana ulikua unanyapia kitambo sana halafu sijui 'ndio mana bidada sababu nyingi mradi urudi kwenu 'kumbe mipango ya ndoa doh'😩🙏 (kama movie hivi ila 👊)


nuh mziwanda



Jiunge na mauricemackytz.com sasa

Unaweza kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii Facebook Twitter pamoja na Instagram

<data:blog.title/> <data:blog.pageName/>

Chapisha Maoni

1 Maoni